Kuhusu Sisi | Discount Kubwa

Kuhusu Sisi

Tanzania-flag

Kuhusu sisi,

Sisi ni moja ya duka la komputa linaloongoza Dar es salaam na Tanzania nzima kwa ujumla. Tunauza komputa na vifaa vyake vikiwa katika hali na muonekano mzuri zaidi.
Bidhaa zetu ni Mpya, Mitumba na vilivyo boreshwa {refurbished}
Kila bidhaa moja baada ya nyingine  tunauza ikiwa imethibitishwa kuwa ni bora na tunahakikisha tumeshaifanyia majaribio.
Tunawafanyia wateja wetu huduma mbalimbali kama vile, kuboresha {kuapgrade}, kurekebisha, {kuripea}, kuwasaidia namna ya kusafirisha ndani ya nchi yaani mikoani.
Dhamana tunayotoa {warranty} tunapanga kuanzia miezi sita mpaka miezi kumi na mbili

Tumefanikiwa kwa miaka mingi iliyopita {miaka mingi ya nyuma mpaka sasa} kwa kutoa huduma bora zenye uhakika kwa wateja wetu ambapo kuna ushindani mkubwa wa bei

Timu yetu ya Discountkubwanni vijana walio imarika na kila mmoja amefuzu vizuri
mafunzo/majaribio  na yupo vizuri kwa ajili ya kuhudumia mteja.

Discountkubwa imependekeza kuanzisha maoni au ushauri ninafsi kwa wateja wetu  ili kuweza kujua kwa uwazi hitaji la kila wa wateja wetu.

Wengi wa wateja wetu ni wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali hapa nchini

Tunafurahi kwamba tumejenga uaminifu kwa kuweza kumudu  wateja wetu kwa ufanisi mkubwa na tumeweza kusaidia kusafirisha komputa na laptop vijijini na mijini

Kama unahitaji kujua zaidi huduma zetu za dukani tafadhalimtutembelee

Tunapatikana eneo la biashara kubwa kubwa ndani ya Dar es salaam – kariakoo  Mtaa wa Msimbazi usawa wa kituo kikubwa  cha daladala zinazoenda Ubungo

Unio flag

About Us

We are one of the leading Computer Shop in Dar es Salaam and the hole country of Tanzania. We sell computers and accessories in excellent condition our products are new, used and refurbished. Every single product we sell is truly checked and tested we provide our customer a varieties of services such as upgrades, repairs and delivery to upcountry regions. Our warranty service ranged from three, six and twelve months

We succeeded in the past to offer our customers excellent services that goes along with competitive prices.

Our Discountkubwa team is young, energetic and every team member is well trained and committed to serve our customer.
Discountkubwa is dedicated to provide individual consultation to our customer in order to know the specific need of each of our customers.
Most of our customer are students from far distance universities of the country we are proud to say that we earned the trust of our customers. We managed to build an efficient delivery system to send Laptops and Desktops to customers in rural and remote areas.

If you need to know more of our Shop and services please visit us.

we are located at the main business area of Dar es Salaam in Kariakoo, Msimbazi street direct at the main Bus station to Ubungo.